![]() |
Mtu alie faliki dunia miezi mitano
iliyo pita aonekana tena wilayani misungwi kata ya bhulemeji mkoani mwanza
kijana huyo alifaliki dunia mnamo tarehe 8/2/2017 na aliokotwa maeneo ya ziwani
kijiji cha chole ambacho ni kijiji jirani na mahali alipo kuwa anaishi kijana
huyo kijana huyo ajulikanae kwa jina la
Ntelani Hando
Hii Ni Picha Kipindi Ajapoteza maisha na kuonekana tena
NIMEKUEKEA PICHA MBILI HAPO CHIN
True Media Tv Imefka pka nyumbani kwao kwa kijana NITELANI HANDO
Uyo katikati Ndio Kijana Nitelani ,uyo wa kulia ndio mama yake mzazi
0 comments:
Post a Comment