TRUE TV
Inatoa vipindi Mbali mbali kwanzia Tareh 1/07/2017 ndio itaanza lasimi Hii ni utangulizi tu Tupo Usagara Mwanza kama unaitaji kufanya kazi nasi karbu sana tunaitaji watangazaji wa vipindi mbali mbali watu wa tano wanao jua kutangaza vipinda vya kwenye TV wa kike 2 wa kiume 3
kwa mawasiliano zaidi piga Sim No 0763 927842
Muko safi sana wkali tupo pamoja sana wadau wetu pikeni kazi
ReplyDelete